People are illogical,unreasonable,and self-centered. Love them anyway.
If you do good,people will accuse you of selfish ulterior motives.
Do good anyway.-Keith
UHAINI, ambalo ni kosa kubwa kuliko yote ndani ya Jamhuri tena dhidi ya Kiongozi mkuu wa Chama cha Siasa nchini, DPP anashindwa kuleta MASHAHIDI MUHIMU wanaopaswa kujua kilichotokea! Hakuna CDF, IGP, DGIS & DCI. DPP ameshindwa kuleta SSH & viongozi wengine wa Kiserikali ili kuthibitisha ni namna gani WAMETISHIKA!
Badala yake, DPP analeta dereva bodaboda, wauza machungwa & wengine toka vijiweni ambao hawahusiki kabisa na masuala ya KIUSALAMA ya Nchi. Yaani, DPP ameokoteza tu vijana mitaani ili kutoa ushahidi tena kwa KIFICHO!
Lissu akaona isiwe shida, akataka awalete WAHUSIKA wenyewe, wanakamati ya Usalama ya Taifa. Mahakama ikatoa maamuzi KULINDA wanasiasa. CDF & IGP tukaambiwa wako nje ya nchi, Kingai akatii wito lakini kagoma kutoa ushahidi!
Binafsi, nina amini, Lissu alijua fika hawa watu watalala mitini, aliwaita kwa kusudi la kuweka MTEGO, wakanasa. Kama Kingai et al wangekuwa wana AKILI ZA KUTOSHA, wangetoa tu ushahidi. Kitendo cha wao 'kutupa taulo' wakidhani wanamkomoa Lissu, ni MISTAKE. Kiufupi wamesaidia UTETEZI wa mtuhumiwa KUIMARIKA zaidi.
Unaesoma ujumbe huu, jiulize tu kama hii kesi si ya KISIASA, kwanini mashahidi wote toka Serikalini WAMEGOMA kutoa ushahidi! Watu ambao tulitegemea watakuja kutueleza nini kilitokea.
Mwisho, sote kwa pamoja tuseme LISSU HANA HATIA.
Hii mambo ya kusema iundwe kamati ya wataalam waangalie katiba pendekezwa (iliyoandikwa na kina Chenge) na rasimu ya Warioba, ni upuuzi na uhuni. Hiyo kamati itaundwa na nani? Nani atateua wajumbe wake? Secretariat yake itaundwa na kina nani? Katiba tutaandika sisi wananchi
Polisi Tanzania mnasema taarifa zinazosambaa mitandaoni za kifo cha Nchimbi ni "feki, zipuuzwe" ilihali Nchimbi haonekani inamaanisha nini? Nchimbi alikuwa na ulinzi wa serikali mpaka alipojiuzulu, yuko wapi? Kwa nini haonekani?
@MariaSTsehai@Roma_Mkatoliki kaka najua mimi siwezi kukupangia, najua sina mamlaka wala hadhi ya hata kukushauri kwa uwezo nilionao.
Ila kama ukiweza, naomba utunge wimbo wa Tanganyika. Nakubaligi sana ngoma zako za kizalendo. Na pia huwa zinagusa sana waTanganyika.
Ukiweza kaka fanya hivo.
Lissu alikamatwa tarehe 10 April 2025
Kikao hiki kilifanywa tarehe 14 April - siku nne baadaye na TCD mlishindwa hata kutoa tamko la kulaani ukamataji wa Lissu
Mmekosa credibility na moral stand kujadili sualala kitaifa sijui muafaka au maridhiano! It is clear where you are getting your instructions from
#TutaelewanaTu
@BabaMwita nimesikiliza hii clip hasa kuhusu swali kama kesi ya Lissu inaweza kufika kwenye mahakama za kimataifa. Kuna mtu alihukumiwa life imprisonment mpaka hatua ya rufaa alishindwa. Alikata rufaa kwenye mahakama ya Afrika ya haki za binadamu (HQArusha) akashinda na aliachiwa
His political career is in ruin and his legacy in total messy. He will go down in history as the most trecherous politician who hid his ill intentions against the people he pretended to lead. Few of us reserved a thread of respect for his contribution in the growth of his party,
We remain outraged by last week’s decision ordering our client @TunduALissu to stand trial for treason, a charge carrying the death penalty, despite the UNWGAD having found his detention to be arbitrary. We join the @idualliance in continuing to stand with our friend.
TUJIELIMISHE ILI KUJISAHIHISHA.
KESI YA LISSU: HAKUSHINDWA BALI MAHAKAMA ILIAMUA KUWA ANA KESI YA KUJIBU HIVYO UTETEZI UNAFUATA.
Pamoja na kuheshimu uamuzi wa Mahakama, mimi ninaendelea kuhimiza busara na hekima zitumike katika ngazi zote za maamuzi ili taifa letu liondokane na jambo hili la kusikitisha. Tuweze kuambizana ukweli, kusameheana na kuridhiana.
Sizungumzii hatia au kutokuwa na hatia kwa Lissu; hilo ni jukumu la Mahakama. Ninazungumzia mazingira ya kesi hii, historia yetu na umuhimu wa sheria kutumika kwa usawa. Tutambue:
1. Kesi ya Tundu Lissu ina tofauti kubwa na kesi nyingi za uhaini zilizowahi kutangulia hapa nchini. Katika kesi hizo za kihistoria kulidaiwa kuwepo njama, washirika, mipango ya pamoja ya kuipindua Serikali, na katika baadhi ya kesi washirika kutoka jeshini na madai ya kupanga kumuua Rais.
Katika kesi hii Lissu ameshtakiwa peke yake, na kiini cha shtaka kinahusu kauli zake za hadharani. Hii ni tofauti muhimu inayostahili kutafakariwa bila kuingilia kazi ya Mahakama.
2. Lissu anashitakiwa kwa uhaini chini ya kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu, kutokana na kauli alizotoa katika mkutano wa CHADEMA tarehe 3 Aprili 2025. Kaulimbiu yake ilikuwa “No Reforms, No Election.” Upande wa mashtaka unadai kwamba kauli zake kuhusu “kukinukisha”, kuzuia au kuvuruga uchaguzi zilivuka mipaka ya siasa za kawaida.
Kauli hizo ni kali. Lakini katika historia ya siasa zetu tumewahi pia kusikia kauli kali zaidi. Mfano wimbo maarufu: “Wapinzani tuwashike, tuwachanechane, tuwatupe.”
Hata Bungeni wimbo huo uliwahi kulalamikiwa lakini ikachukuliwa ni utani wetu wa jadi. Pia mitandaoni leo tunasikia kauli za kutishia watu, kuwaua au kuwapoteza bila hatua zinazoonekana kuchukuliwa kwa kiwango sawa.
Ndiyo maana wapo wananchi wanaojiuliza: Je, sheria inatumika kwa usawa kwa kauli za wanasiasa wa pande zote? Bibi yangu aliwahi kunikanya kuwa :Ukitania uwe tayari kutaniwa".
3. Lissu alitoa matamko yake hadharani au katika mikutano ya kisiasa. Wananchi wengi waliyasikia na wanayajua. Kwa hiyo, pamoja na kuacha Mahakama ifanye kazi yake kwa uhuru, ni vigumu kuzuia mjadala wa wananchi kuhusu jambo ambalo liko hadharani na linagusa siasa, sheria na haki za kiraia.
Ili mradi staha izingatiwe na mjadala huo usibadilishwe kuwa hukumu ya hatia au kutokuwa na hatia kabla ya Mahakama kumaliza kazi yake.
4. Kama Mahakama ingelikuwa imeamua kuwa hakuna kesi ya kujibu, hatua ya utetezi isingefunguliwa. Sasa Lissu ameomba kuwaita baadhi ya viongozi wakuu, akiwemo Rais Samia na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama, kutoa ushahidi.
Historia ya nchi nyingine inaonyesha kuwa jambo la Rais aliye madarakani kutoa ushahidi katika shauri la jinai lina utata lakini si geni kabisa.
Mwaka 1807, katika kesi ya uhaini ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani Aaron Burr, Burr aliomba ushahidi kutoka kwa Rais Thomas Jefferson, bosi wake. Jaji Mkuu John Marshall ndiye alikuwa muamuzi na alikataa "dhana kwamba Rais ana kinga ya moja kwa moja dhidi ya mchakato wa Mahakama pale ushahidi wake unapohitajika katika kesi ya jinai".
Jefferson hakulazimishwa kusimama mwenyewe kizimbani, lakini alitoa ushahidi kwa nyaraka na kanuni muhimu ikawa: hadhi ya Urais haimaanishi kwamba ushahidi muhimu kwa mtuhumiwa hauwezi kupatikana.
Baadaye, Marais wengine wa Marekani wamelazimika kutoa ushahidi au taarifa katika mashauri ya jinai inapohitajika. Ni pamoja na:
James Monroe — 1818
Ulysses S. Grant — 1876
Gerald Ford — 1975
Jimmy Carter — 1978
Jimmy Carter tena — 1980
Bill Clinton — 1996
Richard Nixon mwaka 1974 aliamriwa kutoa kanda za Watergate.
Mara nyingi ushahidi huo ulitolewa kwa maandishi, nyaraka, viapo/deposition au video badala ya Rais kufika mwenyewe mahakamani.
5. Hakika Hatua inayofuata katika kesi ya Lissu ni nyeti. Itatuonyesha mwanga katika masuala haya muhimu kuhusu utawala wa sheria na haki ya mshitakiwa kupata utetezi stahiki.
6. Kiuhalisia Wengine tumejikita kwenye swala la HEKIMA, BUSARA na HURUMA YA MUNGU.
Tamati ya andiko la THRDC haiendani na yaliyomo kwenye andiko. Ni kama tamati (conclusion) imepachikwa tu kutoka hewani. Ni kama baada ya andiko Ole Ngurumwa alipewa maelekezo achomeke jambo nje ya muktadha. Kwa maslahi ya nani? Anajua mwenyewe. Kwa mnaojua uandishi someni muone
Nimeshangaa sana kuona GERALD HANDO na wenzake, “WAKUCHAMBUA MAGAZETI” kwa namna ya KUSHABIKIA UOVU aliofanyiwa KAZUNGU na MADHILA aliyopitia MADELEKA. Hivi HANDO ungekuwa ni WEWE umeumizwa MAKALIO, ungechambua gazeti kwa KUSHABIKIA UNYAMA huo?