The largest Mall in East & Central Africa- BBS Mall Nairobi
* 3500 Shops
* Local and International Brands
* Gold Souk
* 150,000 visitors daily
* 2200 Parking Spaces
* 32 Restaurants
* 364 toilets
" 12 banks,
* 3 Major hospitals
* 7-Star Hotel
๐ฐ๐ช Open For Business
Mwonekano wa Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto - META katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya ambalo Rais Samia Suluhu ameweka jiwe la msingi leo.
Jengo hilo limeongeza vitanda vya wajawazito kutoka 156 hadi 379, pamoja na vyumba vya kujifungulia na upasuaji vyenye ubora zaidi.