zingatia mtazamo wa mwenzi wako juu ya msingi wa maono ya maisha yako. Je, ni mtu ambaye anasapoti maono yako ama ana njia yake ya maisha. Kumbuka ndoa ni taasisi inayojengwa na watu wwnye maono ya pamoja. Je, ninyi mnatamani kujenga taasisi ya namna ganina itakayoacha alama gani