Ukiishi Thika wale 10/10s wa pale Archives ata hawakuangi kitu. Kuna hii njia inakuanga na wasichana wa Thika technical, Mount Kenya University, Thika kmtc na Imperial college na wote wako street moja. Hapa kila mtu anakuanga type yako sa inabaki tu umesema kwelih Mungu fundi🙌🏻
Lakini naishi a very lonely life. Sina ata marafiki buana. Contact list iko na watu around 25,nkiwa nimecount adi family contacts mbili mbili. Nikiskia call najuanga definitely huyo ni Landlord ama mzazi. Tuko wengi ama niko peke yanguh??