Miaka 25 Baba alikuwa ameoa ana mashamba mengi kijijini ana Ngombe zaidi ya 50 na anatunza ukoo, Mie niko 30's Namiliki tu degree na vyeti kibao nyumbani
Hata nikifa leo siachi urithi duniani akiii
True patience is the product of complete trust in Allah ﷻ at the time of calamity and trials in life, Allah ﷻ hears, even the very silent prayer of a sincere heart.
FAMILY LAW 101
Marriage is not a marriage certificate. Similarly, there are lots of people without birth certificates. It doesn't mean they are not alive. Analogously, there are millions of marriages without marriage certificates. Cohabitation for 3 years or more = marriage.
Mungu ametuamsha tena. Tukawe baraka kwa wale wasioweza kurudisha fadhila. Kwa wadogo. Tutatenda wema na hatutangoja kupigwa picha au kushukuriwa. Tutakimbia tusionekane na mtu.
Moja ya busara na upendo Mama/Baba anaweza kumbariki nayo mwanae, ni kuepusha kujenga chuki ya namna yoyote kwa mzazi mwenza bila kujalisha wanaelewana au chukiana. Ukimwezesha Mwanao kuona sawa kumsema vibaya, kumdharau/kumdhihaki Mzazi wake ni kumuongezea nuksi za Maisha.