Habari,mwenye uhitaji wa kiwanja
Nauza kiwanja changu kipo maeneo ya kibaha kiluvya ukishuka unapanda bajaj kuelekea Makurunge kwa mosha,kiwanja kina ukubwa wa Mita 23/24 kina huduma zote za kijamii
Maji,umeme vipo.
Kwa mawasiliano piga
0711729376
"Chama cha Mapinduzi na serikali zake ndizo zinazoweza kufanya kazi ya kuinua hali na utu wa Mtanzania. Tumefanya miaka mitano iliyopita tuna imani na tunajiamini tunaweza kufanya miaka mitano inayokuja." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu kwenye kampeni Nanyumbu, Mtwara