@ayubu_madenge Mimi nikikamata Presidential Post ya nchi hii, wazanzibar wote watahamia mkuranga na Tanga. Nitaiweka Zanzibar kuwa kisiwa cha kitalii iwe kama Dubai. Nitavunja SMZ na kuweka order iende Bungeni kuwa tunabaki na serikali moja tu. Na lazima ipite.
@MarekaMalili Huyu mzee anatafuta kutrend tu wala hana shida ya kazi, na kama akitaka kazi za kimataifa hana haja ya kuzipata kwa kujitangaza LinkedIn.ANAJUA MICHEZO HUYO
@Tweener003 Maisha yalivyo yanawafosi kuoa mapema, ardhi unayo, mifugo, na kibanda utaoa tu utale usitake. Na kuna muda ukikaa bila mkee hujaoa wenyw ndoa wanaanza kukufanyia zengwe kuwa unaiba wake zao au Unalomba watoto wao
@Adventure_36 Kwanini wasiikache, kila kampuni inajenga ofisi yake nje ya stand , na hiyo inakuwa kama ndo stend yake maalum. Abiria wote wanaenda hapo!
Wakali zangu mkali Njiwa amefikisha Followers 200k na anatoa Zawadi ya Krismasi....Hakikisha umeifollow account ya @Njiwa_Store Kwa maunyama zaidi.
Retweet tupate chochote kitu hapa wakali.🙏🙏🙏🙏🥳🥂
Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue🤣
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store