@yangasc1935 Uwanja ni mbovu sana maji yamejaa,Mpira hautembei.Tungekuwa tumeshawafunga nyingi sana. Ninaamini tukihamia upande wa pili kidogo mpira utatembea
@OmwanaOmtiti Tatizo Wakenya bado hamumjui Mandonga wala hamjatuelewa sisi mashabiki wake, yeye mwenyewe anakwambia ,โNikipigwa kama nikipigaโ.Yaani akipigwa sisi ndo kama tumeshinda