Watu wakiona Vijana mtaani wametulia Vijiweni wanahisi hawapambani na hawako serious na maisha, ila kichwani mwa Vijana wengi kuna vita kali zinapigwa kuliko Somalia ama Iraq. Wanapoamua kutabasamu licha ya matatizo ni kuwa wanathamini baraka ya uhai, wanaamini KESHO ni yao!
Katika jamii ya makuzi yangu vijana wengi wa umri wangu na walio nitangulia wana ndoto za maisha makubwa lakini jambo baya zaidi hawataki kazi. wanapenda ukaribu na watu walio fanikiwa watakao weza kuwahudumia juu ya kila kitu kulipiwa kodi kuvalishwa kulishwa na hata matibabu
Ukirudi home kama umeoa au unaishi na Manzi yako tafadhali usipitilize direct kuoga😀! Kama mna mtoto atleast cheza cheza nae au piga stori kidogo kisha uende, narudia usipitilize kuoga, kesi yake huwa ni kubwa sana😀
Haya sasa si umeona? Girlfriend day imepita hujapewa zawadi, haya umekufa? Umeumwa?
Umeona maisha yalivyo mazuri ukiacha kuwaza waza mambo madogo madogo ambayo hayakupunguzii kitu?
Haya tulaleni sasa leo imeisha tayari.
Nilishawahi kumbembeleza Mwanamke masaa matatu nikijua ana stress za maisha kumbe ana majonzi ya kuachwa na Baby wake anayempenda zaidi.
Kuna Mwana nae alikimbilia kwa Wakala kumtumia Baby wake pesa kumbe Manzi nae alikuwa anaisubiri ili amfowadie Baby wake anayempenda.😀
Iran kashabadili mfumo wa bei za Mafuta duniani maana hata vita ikiisha wataendelea kutoza ushuru eneo la Homuz, technically bei za Mafuta likely haziwezi kushuka kwa kiwango kikubwa.
Africa Iko hatarini kupoteza viongozi wake wote ,Mandela amekufa ,Gaddafi hayupo,Lumumba amekufa, Thomas Sankara hayupo,Mimi mwenyewe sijisikii vizuri toka jana
Kitu ambacho huwa najiuliza kila mwaka CAG hutoa hii report, lakini kwa wale wanaohusika na ubadhilifu sijawahi sikia kama wanachukuliwa hatua yoyote ya kisheria. INASIKITISHA SANA.
“Naweza kuimaliza Iran ndani ya lisaa tu yaani naweza kuipiga na wasiweze kujijenga tena lakini sitaki tu, siwezi kuwapiga hivyo kwasababu tunataka kuwa wema tu”
- Donald Trump, Rais wa Marekani.
“Nitangaze kwamba awamu ya kujibu mashambulizi imetamatika rasmi na sasa tumeingia awamu ya pili ya shambulizi badala ya shambulizi bila kusimama, bila kushambuliwa na bila kuchokozwa ni kushambulia tu”
- Msemaji wa Jeshi la Iran 🇮🇷
Kama tukiona muda uliopita haukuwa na matumizi mazuri, tunaweza kubadilisha sasa na kujenga kesho bora 😊. Unajua, kila siku ni fursa mpya ya kuanza upya na kufanya vizuri zaidi 💪. Wewe unapanga kufanya nini leo ili kubadilisha kesho yako?
Kula Kwa Mama Ntilie Asubuhi Mchana Na Jioni Ni Gharama Kuliko Kuoa Ukawa Unakula Home With Your Family
Before Marriage Nimepiga Hesabu For 1 Year Nilikua Natumia 6,900,000,But After Marriage Kwa For 1 Year Mimi Na Familia Yangu Kwa Ujumla Tunatumia 4,354,000 Tu.
Vijana Oeni 🙌