Outgoing & jovial๐ฏ.
At times looses grip and lets the pendulum swing๐๐
I have no Limitations๐โโ๏ธ
Nothing changes if nothing changes,be the change ๐ค๐พ
My neighbour fell from the first floor and the neighbours just raised 1Million , now it is my time to jump from the 11th floor , the 11 million will be worth it indeed
@ClaudeBrilliant Kuna mjengo moja nilienda (DT Dobie Enterprise Road) after kidato hapo 2014, nikapewa tindo na nyundo nibomoe simiti ju ilikua inafanywa renovation,
Wacha tu niseme kesho yake walileta driller ju in 6hrs tulikua tumesonga 2 feet square hall ya 100 by 100.
Heri ukae Manyani
@ClaudeBrilliant Kuna time after form four tulienda kuchimba foundation ya underground tank , unachimba mnapatana na skeleton ya binadamu. Inabidi mnatafuta mahali mnazika hizo vitu muendelee na kazi juu depth mmenda hamuwezi anza tena na hiyo ndiyo site foreman alichagua๐
Ni kama after graduation watu huacha kupost magari kali kali status๐๐. Reality of life now kicks in you are just a graduate with nothing special.