#Thread
AFYA YA KINYWA NA MENO KWA WATOTO.
Ni vyema kujali afya ya kinywa na meno kwa mwanao ili kumfanya awe na tabasamu la kuvutia na kumkinga na maradhi mengine yanayoweza kusababishwa na matatizo ya meno. Fuatilia uzi huu kujua namna bora ya kumpa #Tabasamuπ zuri mwanao.
Orthopantomograph (OPG) imefungwa Mwezi OKTOBA, 2023 Hospitali ya Wilaya Mbarali. Kila Hospitali ya Wilaya ambayo itakuwa na DENTAL SURGEON (DDS), Wizara ya Afya itaratibu ununuzi na ufungwaji wa OPG ili DDS afanye matibabu ya Kinywa na Meno yenye ubora wa hali ya juu
Nakiri kwa dhati kwamba sijui sana sheria na uratibu wa maduka ya kuuza madawa(Phamarcy).Lakini nafahamu kwamba ninaweza kununua dawa yoyote ktk duka lolote hata bila cheti cha daktari hata zile dawa za hali ya juu kabisa.Ninafikiri hii ni hatari sana.Ninafanya hivyo na nimefanya hivyo mara nyingi.
Matumizi ya dawa bila vipimo na ushauri wa daktari yana chochea sana kukuza magonjwa chronic ambayo baada ya muda yana gharimu sana familia na serikali.Kama gharama za ushauri na uchunguzi zikiwa chini na ikafanyika kampeni ya uchunguzi kabla ya matumizi ya dawa,bila shaka tutaokoa watu wengi pamoja na gharama kubwa zaidi kuliko ambavyo tunaweza kufikiri.
Ktk maduka ya madawa Nchini unaweza kujadili kununua dawa yoyote na unayemkuta dukani bila hata yeye kuona vipimo hata kwa zile dalili za magonjwa hatari yanayo weza kufichwa kwa aina za dawa ambazo zina pambana na maumivu kwa muda tu huku zikiendelea kukuza tatizo kubwa kwa muda mrefu.
Ninashauri uratibu zaidi uimarishwe huku gharama za vipimo na kumwona daktri viwe rafiki na rahisi.Watu wengi wanakuja kugundua baadae wanaumwa serious baada ya kuwa wamekuwa waki supress pain kwa kushauriana tu na dada mmoja ktk phamarcy kwa matumizi ya dawa hata kabla ya vipimo.Haka katabia tunako wengi sana.
@Rousieeeee ndo maana binadamu alichagua kufuga punda ndani akamuacha pundamilia na uzuri wake mbugani siku akiwa na shida anaenda zake mbugani kuona pundamilia akimaliza anarudi zake kipiga kazi na punda wakeπ