@meamswahili@SteveNyerere Kuna huyu kuna manara ni watu wa puuzi sijapata kuona, anachosema heche ni cha kweli si walitaka kuanza kuleta siasa jukwaani bila wananchi kuwa wakali je
@RashdaZunde Hapa ndy ccm mnapofeli baada mshughulikie matatzo ya wananchi ili mrudishe heshima mliyopoteza nyinyi mnatengeneza propaganda za kitoto ety mukiharibu chama cha chadema wapuuzi wakubwa na mnakera sana