Ni rahisi kuona na kuzungumzia mapungufu ya wenzako. Na inakuwa vigumu kupongeza na kufurahia mazuri yao. Mwendo huu wa maisha huzaa husuda, chuki na kuchakaza nyoyo pasipokuwa na sababu yoyote ya msingi. Usijiondolee furaha yako bali furahia mafanikio yako.
@kanzupoint
ASALAM ALEIKUM WARAHAMATULLAH NI KANZU POINT, TUNGEPENDA KUWAATARIFU WATEJA WETU KUA MZIGO MPYA KAMA KANZU , VIATU ,MARASHI N.K UMEWASILI, TUTAKUA NA PUNGUZO LA BEI KWA AJILI YA SIKUKUU HII YA EIDUL ADHA'A KARIBUNI SANA @kanzupoint@kanzupoint
Eid Mubarak kutoka @kanzupoint Miye tayari kanzu yangu kwa ajili ya kuswalia Eid hii hapa. Hujachelewa njoo nawe hapa @kanzupoint Eid Mubarak @faizooooo @don_tariq_kp
Maisha ni safari kutoka kwa Allah na kurejea kwa Allah, hivyo tusiache kumuabudu Allah. Ramadhan Kareem
Bila kusahau Kanzu zenye ubora zinapatikana @kanzupoint.
Maduka yetu yapo City mall 2nd floor pamoja na mtaa wa livingstone/Mkunguni, kariakoo
piga no 0744577577
Ramadhan siku zote haiji kubadili ratiba zetu bali inakuja kubadili na kutakasa mioyo yetu. Ramadan kareem.
Kanzu zenye ubora zinapatikana @kanzupoint.
duka letu lipo City mall 2nd floor
weka order ya kanzu kama hii 0744577577
#kanzupoint#ramadhankareem🌙
#ibrahimajibu23
Historia inatufundisha kuwa umoja ni nguvu, na inatuonya kuondoa na kushinda tofauti zetu katika kutaka malengo ya kawaida, kujitahidi, kwa nguvu zetu zote pamoja, kwa njia ya udugu wa kweli wa Kiafrika na umoja.
Kanzu zenye ubora zinapatikana @kanzupoint.
piga 0744577577