8. Turn yourself from average to alpha
She wants to be with someone who she can be proud of,
Work on yourself and fix your life.
Women chase men,
Who chase their purpose.
Sikutilia maanani sana hizi video mwanzoni. Lakini nilianza kuziangalia kwa uzito zaidi pale nilipogundua kuwa maudhui ktk video hii yaliwekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa gazeti la Habari Leo, gazeti la serikali, na baadaye yakaondolewa. Na haya ni maneno ya Makamu wenu wa Rais.
Kinachonishangaza ni kwamba maudhui yaliyomo yanalenga kukemea ufisadi wa fedha za umma na viongozi kuacha kujinufaisha. Swali la msingi linaanzia hapa, kama maneno ya aina hii yanaweza kuonekana mabaya kiasi cha kuondolewa, basi wale wananchi wote wenye akili na mapenzi ya nchi wanapaswa kujiuliza kwa kina mwelekeo wa zaidi tunaokwenda.
Je, ni rahisi kwa mhariri kuamua kuondoa maudhui yanayomhusu kiongozi wenu wa juu namna hiyo bila maelekezo kutoka juu? Na huko juu ni wapi ? Kuna hadithi moja huko Italia , askari wa barabarani alisimamisha gari , alipokuwa anakagua, akagundua kuwa aliyekuwa anaendesha alikuwa PAPA , ghafla alianza kukimbia kwa speed kali huku akitokwa jasho !! Wenzake walimuona na kumfuata na kumuuliza , nini kimekupata ? Alijibu , nimesimamisha gari nikakuta PAPA anaendesha akiwa na abiria mmoja , akaendelea kusema , nafikiri huyo abiria lazima atakuwa YESU !! Tafakari.
Huyu ni Makamu wa Rais wa serikali yenu mliyopata kupitia uchaguzi uliokuwa na maumivu makubwa kwa taifa. Mnaondoa video kama hii ktk kurasa zenu, meseji kwa umma ni moja , Amkeni sasa na sio baadae, maana Cartels wako RADA.
Nina hofu kuhusu kesho ya Tanzania. Si kwa sababu hakuna watu wenye uwezo, bali kwa sababu ukimya unapokuwa kawaida, hata mambo yasiyostahili yanaendelea kuonekana ya kawaida. Hapo ndipo hatari kubwa.
CCM, mnapaswa kutafakari kwa kina. Historia ina tabia ya kurudia matokeo yake pale pale makosa yanapopuuzwa. Hii si wakati wa kiburi, bali ni wakati wa kurekebisha mwelekeo kwa ajili ya taifa. Kila maumivu mliyowapatia wa Tanzania , mtalipa na Nchi itaharibika sana. Maisha ya Nchi sio ushabiki wa michezo.
Mafuta yanayotumika nchini yaliingia Nchini mwezi wa tatu kwa bei ya chini kabla ya vita..
Katibu mkuu wa Wazira aliwambia Watanzania kuna mafuta kwenye Akiba yetu ya kutumika Mpaka mwezi wa saba .
Kwanini mafuta yameongezwa bei na kwanini Watanzania waumizwe kwa ufisadi huu.
Hii ni kadi ya babu yangu ya mwaka 1952, alipokuwa mpinzani wa serikali ya wakoloni kupitia Kilimanjaro Chaga Citizens. Leo nimejisikia kuwa na nguvu sana baada ya kuiona. Najua babu yangu alikuwa mcha Mungu sana, lakini kadi hii imenipa fahari zaidi na kunikumbusha misingi imara aliyosimamia. Inaonyesha ujasiri, mshikamano na hekima ya WACHAGA, huku pia ikibeba ujumbe unaomgusa kila mtu.
Shabaha na amri zao zilikuwa ,
Kuungana
Kupendana
Kuaminiana
Kushirikiana mawazo na mali
Huu ni urithi wa thamani unaoonyesha fahari ya Kichaga, lakini pia ni mwongozo wa maisha kwa yeyote anayetamani umoja, heshima na maendeleo. Kwa kweli inanipa motisha ya kuendeleza alichoanza babu yangu kwa vitendo.
Mmeona hapo , Mawazo na Mali ?? ๐
@RoshanKrRaii@NetworksManager The IRGC be like, YOU SHOW UP AT THE DEMONSTRATION OR THIS WILL HAPPEN TO YOU AND YOUR ENTIRE FAMILY! https://t.co/hNg5OiSsPQ
Madaraka Nyerere anaandika, "Yapata miaka 7 iliyopita kuna kipindi nilikuwa natumia usafiri wa basi kwenda Musoma kazini na kurudi nyumbani Butiama. Siku moja, nikiwa ndani ya basi ambalo lilikuwa linapakia abiria Musoma aliingia mvulana anauza karanga.
Nilimuuliza kwanini hakuwa shuleni, akanijulisha yuko likizo na alikuwa anauza karanga kwa niaba ya bibi yake aliyekuwa anaishi Musoma. Alinijulisha kuwa darasani huwa anaongoza wanafunzi wenzie tangu aanze darasa la kwanza. Wakati huo alikuwa darasa la tano. Nilimuahidi kuwa mtihani utakaofuata akiwa wa kwanza ningemnunulia baiskeli.
Nilimhoji sababu ya kuishi na bibi yake, alinijibu kuwa wazazi wake wanaishi Butiama. Nilipouliza jina la baba yake nikabaini kuwa amemtaja binamu yangu, mtoto wa shangazi yangu Nyakwe.
Niliyemuahidi baiskeli sasa hivi ni mwanafunzi wa kidato cha sita na anaendelea kuchanja mbuga kusaka elimu. Na bado anaongoza darasani.
Sikumbuki kumnunulia baiskeli, lakini kila anaponiomba kulipia baadhi ya gharama za elimu yake huwa najitahidi kumsaidia.
Mwalimu Nyerere alisema: โElimu siyo nyenzo ya kuutoroka umaskini, ni njia ya kupambana nao.โ
HAKUNA ALIYESALAMA
Anaandika Mdau kutoka Geita๐๐๐
Hapa ni Ililika-Nyarugusu Geita imetokea RUSH Mpya ya Uchimbaji wa Madini.
Kama kawaida wakajitokeza watu wengi kwa ajili ya usimamizi na Moja ya kundi lililojitokeza ni UVINYA Umoja wa Vijana Nyarugusu,
Hili ni kundi kubwa la vijana hapa Mgodini ambalo lina watu wengi wenye uzoefu mkubwa wa uchimbaji na wengine wakiwa wajasiliamali na wafanya biashara wadogo wadogo.
Walifika kwa ajili ya kuomba tenda ya kusimamia rush, na wakaja na vifaa vya kujenga nyumba ya muda(temporary residence) walikua na vifaa kama mbao nk.
Sasa alitokea mtu mwenye bunduki na kuaza kuamuru vifaa hivyo viondoshwe haraka sana!
Mzozo ukawa mkubwa bwana huyu alishika bunduki akaanza kutumia kitako cha bunduki kumpiga huyu kiongozi wa UVINYA!
Huyu kiongozi wa UVINYA ni mwanaccm tena mjumbe katika serikali ya Kijiji hiki, in short ni wale ccm kihere here.
Huyu kada wa CCM ameumizwa sana na askari huyu ambae alikua akisema kwamba yeye anamaelekezo kutoka juu ni Askari mwenye rasta na mwenye muonekano ambao si wa kiaskari,
Mashuhuda kadhaa wa matukio ya Oktoba 29 wanasema kwamba huyu Askari ni miongoni mwa Askari waliokua wakimimina risasi kwa raia mjini katoro siku ya Oktoba 29, 30,31 na Nivemba 1
Haya hivyo huyo Kada wa CCM pamoja na kipigo chote icho waliondoka nae na sasa anashikiliwa kituo cha Polisi, Wamemnyima hata huduma ya kwanza licha ya kwamba anajereha kubwa kichwani.