Mwenyezi Mungu hupenda unapomuomba msaada. Unapommiminia moyo wako na kuomba kwa bidii. Kazi yake ni kufanya yasiyowezekana yawezekane. Kwa hivyo usimfikirie vibaya. Huenda tusijue wakati ujao una nini lakini tunajua ni nani aliye na ufunguo wa wakati ujao!
Beware there’s a fake KQ website under the name https://t.co/rRfuD1h2sw that’s a pretty passable clone of the @KQSupport website.
Double check any links purporting to share offers especially on social media advertising
🕌 Ijumaa ya 1 ya 1448 🕌
Mwenyezi Mungu ajibu kila sala ya kimya kimya moyoni mwetu, atusamehe dhambi zetu, na aandike majina yetu miongoni mwa watu wa Jannah. Atujalie afya njema, furaha, na mafanikio katika mwaka huu wote. 🤲Ameen 🤲❤️🕌
🌙 Happy Islamic New Year 1448 AH
May this blessed month of Muharram, Allah fill the coming year with faith, mercy, guidance, and countless blessings. May our hearts draw closer to Him, our deeds be accepted, and our lives be filled with peace and barakah.
A former Air Canada pilot faces criminal charges for flying tens of thousands of passengers for nearly 17 years with a fake pilot's license, Canadian police announced. https://t.co/mW6pnJDnT0