Broke ugly ninja with zero motion, ndio nimefika kejani, ugali nlipika tuesday nikule wiki nzima naona imemea ile ndevu daktari wanitanga mold, mfukoni nko na 170kenyattas, acha niingie locals nipige ma illicits nikijiangalilia ligi kuu ya uingereza. Swali bado moja mamae
Ugly broke jobless niggah ndio nafika kejani after a long day ya kutembea na documents nikitafuta kazi, napata vyombo za juzi baado ni chafu kuenda kuangalia bucket ya unga nione kama neza spin kasembe napata unga iliisha, napiga clicks kadhaa nikijiuliza kukindelea ivi tutapenya lini
Sisi ugly and broke ninjas in our four conered mansions, ikifika kwa deals na mapenzi tunakuanga tusha foresee everything, hakuna kitu inatushtuanga. Wacha sasa nispin ugali keja ijae steam kama Sauna,, Swali bado moja mamae