The Karagwe Diocese (KAD) belongs to the Evangelical-Lutheran Church in Tanzania (ELCT).
In January 2019, the Karagwe Diocese celebrated its 40th anniversary.
https://t.co/qKy5IhRC4n
Azungumzia Ugumu wa nafasi anayokabidhiwa Sasa lakini akatoa njia mbili za kukabiliana na ugumu huo.
Share na rafiki yako unayemjali. Usisahau ku subscribe.
Askofu wa KKKT - Dayosisi ya Karagwe Mch. Dr. Benson K. Bagonza amewataka viongozi kuacha kulalamika pale wanapokutana na Changamoto na badala yake watafute majawabu ya changamoto hizo.
Askofu Bagonza amesema kuwa, kiongozi yeyote lazima awe tayari kutumika na siyo kutumikiwa.