Watu huona Wanaume wakilia kwa show za Lynn Ngugi after scaling the heights abroad and returning home with nothing but nguo za designer na certificates in their backpacks, wanadhani ni scripted but ni reality. Hiyo shida, huangukia mostly vijana walikuwa over-ambitious na wakaamua kuonja “The murky waters of the Caucasians.”
Hao warembo, huwa extremely loving, lakini roho ikiwatoka, they are worse than awa wetu wa nyumbani. Wasichana wetu ata wakikuosha, huwa atleast wanakuacha na transport ya kufika nyumbani. Lakini wamama Wazungu wakimalizana na wewe, huwa hawajali ata ukitokea village yenu kama umevaa boxer ya Samosa na bag kwa mgongo.
Program ya “kupanguzwa clean” happens mostly mkiwa deeply in love with the “assailant”, the process is usually initiated by a scheming lawyer who intentionally sleeps with her and tells her afungue macho na wakusafishe urudi the “Dark Continent” venye ulizaliwa.
Your loving wife anakuletea official documents, alafu akikulamba shingo with a forked tongue kama ya Black Mamba; moja anapitisha along the carotid artery na ingine inalamba ear lobe simultaneously, so unaskia baridi na joto at the same time, confusing your nerve endings further. Then anakuambia in low romantic tones, “sign here my African King” na wewe, fully paralyzed from the neck down, unaSign crucial documents without checking the details giving her full ownership of your properties ukitetemeka ukisema, “Yes Isabela!”