Maabara ya Chemistry niliosanifu na kujenga katika shule za sekondari za Prime, Arusha.
Maabara ya kisasa ya sink na meza zenye material zisizoungua wala kuchubuka kwa tindikali, sakafu ya tarazo na madirisha makubwa yenye hewa.
Njoo tukujengee jengo la mahitaji na ndoto zako