@MarekaMalili I remember that moment when I was at my lowest.
1. Nikaanza pombe za kujikatia tamaa,
2. Bhange za kujificha,
3. Kufanya michongo ya kidhalili sana n.k
Kuna time unaweza jiona una-HUSTLE kumbe ndiyo UNADATA hivyo!
@MarekaMalili Alhamdulillah! Niliacha pombe & Bhange pia lakini kwa msaada mkubwa sana wa watu.
Niliacha kwa maumivu mno!
Kikubwa nilichojifunza ni ku-ACCEPT hali uliyonayo for the time being huku unaendelea jinasua taratibu.
@stevenquotes360 Mwanamke huyohuyo anaweza tongozwa na mwanaume mwingine asubuhi, jioni akawa ghetto kwa mwamba anagawa mzigo vizuri tu.
Huyo amekuweka wewe kwa shughuli maalum apart from having sex!
Stick to your lane mkuu! 🤣
@MkulimaKante Tulikuwa tunamzungumzia leo asubuhi!
Kuna Bodaboda mmoja alipata ajali, katika kukagua simu yake wakakutana na namba ya Nsonda.
Kumpigia simu, akasema anamfahamu hiyo kijana huwa ni boda wake, punde si punde akaomba namba atoe msaada wake, akaingiza 300k chap!
BABA MZAZI BABA!