@Mkanaani_ Naam njia ni moja tu,
kutubu(kubadili namna ya kufikiri,)kumkri Yesu Kristo kuwa ndiye Bwana na hakuna mwingine, kukubali kazi ya Msalaba, kukamilisha haki yoyote ili kumpokea KRISTO (Roho Mtakatifu) kiisha kukua katika ile kweli (neno) ukiongozwa na KRISTO kwa njia ya IMANI๐
@Mkanaani_ Naaam
Nawe utanyonya maziwa ya mataifa,
Utanyonya matiti ya wafalme;
Nawe utajua ya kuwa mimi, BWANA, ni mwokozi wako,
Na mkombozi wako,
Mwenye enzi wa Yakobo๐ฅ๐ช
@immaculatepet14 Key yangu ipo kwenye katiba, warumi 12:2
ukiona watoto(waumini) wapo hivyo hata dadi yao kuna namna mambo si sawa
ubora wa kondoo unategemeana na uimara/umahiri wa mchungaji kinyume chake ni sawa
๐Na yote haya ni kwasababu wazazi hawataki kukaa kwenye nafasi zao
Good morning..
..ni maombi yangu ukafanikiwe siku ya Leo, BWANA akawe mlinzi na nuru katika malango yako, ukabarikiwe utokapo, uingiapo usirudi mikono mitupu
Amen.
@immaculatepet14 mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya kumpendeza, na ukamilifu
Sasa kama mtoto anamwamini dadie kuliko mweza wake unategemea nini?
Nafikiri ๐ikiwa bado imani ipo kwa baba kasema! Aisee itakuwa ngumu kuishi maisha yenu
@immaculatepet14 ๐ Naaam
watoto wa dadiz huwa ni chenga kwa kiasi fulani maana wanapandikizwa mtazamo ambao hauendani na hualisia!
katiba inasema hivi๐
Rumi 12:2
ย Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu,