akiwa na gari aina ya BMW X5 lenye namba za usajili T189 DWY, ambapo wakati wa upekuzi, walibaini dawa za kulevya aina ya cocaine zenye uzito wa gramu 326.46 pamoja na silaha moja ya moto, bastola aina ya Fatih 13.
MRISHO AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA KOSA LA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA AINA YA COCAINE
Tarehe 23.9.2025, Mahakama Kuu ya imemhukumu kifungo cha maisha jela Hemedi Juma Mrisho maarufu kama Horohoro, baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
Itakumbukwa kuwa mnamo tarehe 31 Oktoba 2023, katika eneo la Boko Magengeni, mkoa wa Dar es Salaam, Maafisa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na Dawa za kulevya walimkamata Hemedi Juma Mrisho
Tarehe 23.9.2025, Mahakama Kuu ya imemhukumu kifungo cha maisha jela Hemedi Juma Mrisho maarufu kama Horohoro, baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
Ambapo alikutwa cocaine zenye uzito wa gramu 326.46 pamoja na bastola aina ya Fatih 13.
Kufanya usajili tayari kwa kushiriki ufunguzi wa mafunzo kwa Mawakili wa kujitegemea kwa ajili ya utoaji wa Huduma za Msaada wa Kisheria.
Mafunzo haya yameandaliwa na WKS kwa kushirikiana na Shirika lisilo la Serikali (Shirika la Maendeleo la Ujerumani-GIZ) pamoja na Chama chaTLS
Viongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wawakilishi wa Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ), pamoja na Mawakili wa Kujitegemea na Mawakili wa Kujitolea tayari wamewasili katika Ukumbi wa Morena mkoani Morogoro, leo Septemba 17, 2025
Katika kazi, Ikulu, Chamwino leo nilipata pia wasaa wa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Anyisile Mwabukusi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mawaziri mara baada ya Kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 14 Julai, 2025.
@godbless_lema Ingawa raia wa Tanzania wana haki ya kusafiri nje ya nchi, haki hii siyo ya โabsoluteโ na inaweza kuzuiwa kwa misingi ya kisheria na kwa sababu maalum zinazolinda maslahi ya taifa na jamii kwa ujumla. Ni muhimu kwa raia kufahamu mazingira ambayo serikali inaweza kumziua kusafiri.
NKM Wizara ya Katiba na Sheria, Dkt. Franklin Rwezimula ametoa rai kwa Washiriki wa kikao kazi cha kupitia Rasimu ya Muswada wa marekebisho ya Sheria za Haki Jinai kuzingatia malengo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia,Suluhu Hassan,ili Haki ipatikane.
Chama Cha Wanasheria Nchini (TLS) kimeikabidhi Wizara ya Katiba na Sheria tuzo ya mdau muhimu wa kuendeleza Sekta ya Sheria Nchini ikiwa ni ishara ya kutambua jitihada mbalimbali zinazofanywa na Wizara hiyo katika kuendeleza Sekta ya Sheria Nchini.
WKS Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Mei 2,2025 Dar Es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Benki ya dunia ukiongozwa na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia anayeshughulikia uchumi, sekta binafsi na utawala bora kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Bw. Hassan Zaman.
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Damas Ndumbaro amewataka wanasiasa kutojifanya hawayaoni maendeleo katika sekta mbalimbali yaliyoletwa na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.
au aliyetiwa hatiani kwa makosa fulani ya jinai na Kushindwa kutoa kitambulisho halali anaweza kunyimwa haki hii.
Katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, ni muhimu kwa kila raia mwenye sifa kuhakikisha anajiandikisha na kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi.
*WAKILI: KINACHOJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA SIO CHAMA CHA SIASA*
Wakili Francis Stola anaeleza kuwa haki ya kupiga kura inaweza kuzuiwa kwa baadhi ya watu kwa mujibu wa sheria. Kwa mfano, raia mwenye uraia wa nchi nyingine, mwenye ugonjwa wa akili,
*Wakili: Kupiga Kura ni Haki ya Mtu Mmoja Mmoja Tanzania*
Wakili Francis Stola aeleza kuwa Haki ya kupiga kura ni msingi wa demokrasia na ushiriki wa raia katika uongozi wa taifa. Katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haki hii inalindwa na Katiba ya mwaka 1977. Ibara ya 5(1)