@George_Ambangil Brother geoge niliomba unambie Ni idadi ngapi ya wachezaji wa kigeni wanaruhusiwa ndani ya ligi hizi EPL, Laliga na Seria A Ila hukunijibu please naomba unisaidie kwenye hili๐๐
Eti wajumbe wanasema dili la Bakari Mwamnyeto linaweza kuwa kama hivi , kipindi kileeeeeeeee John Obi Mikel gia ilivyobadilishwa angani badala ya United akatua Chelsea
Aisee.!! Nimeagiza Pepsi ya pili, Tanzania raha ๐๐๐
Anatafutwa mwanamke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo Diploma au principal pass 2 ikiwemo ya Advanced mathematics ( Hesabu) Kama Ni kidato Cha sita , Anaejua kuongea kingereza, muislam, mzuri๐
Maombi yatumwe kupitia #katikoabdul@gmail.com
Mwisho wa maombi Ni 30/6/2020๐
@AliKamwe Nimekufuata na huku broo hata uende mbinguni tutakufuataa tuuu๐ค๐ค๐ช๐น๐ฟ NB:_____________?Utajaza j1 kambarage shinyanga๐๐๐