Kama wewe ni Mvaa BUTI,
Jitahidi kadiri unavyoweza
Ukitoka mazingira ya kazi
Mguu wako usivalishe kiatu tena
Kama ukiweza Uwe Peku, au
Uwe na Kiatu chepesi ( Sendo) kila wakati.
Miaka yako 20-30 ikiisha ndio utaelewa
Buti ilikuwa inafanya nini Miguu wako.
Anyway: Nikutakie ULINZI mwema Mkuu.
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Nimeshuka toka madhabahuni kuja kuwaambia haya ! Nyie mnajiita wanamtandao mna vichwa vigumu sana kuelewa nyakati na mambo yalivyo;
๐จURAIS SIYO KITU CHA KUCHEZEA NA MAMLAKA YA RAIS HAYAJARIBIWI HATA KIDOGO..
๐จWANAMTANDAO NA MUASISI WENU NA MFADHILI WENU HUWA HAMJIFUNZI NA KILA SIKU MNAFANYA KOSA LILELILE ..
Ngoja turudi madhabahuni kuendelea kuombea taifa hili.. Maana mbele kuna mwanga na neema kuu ..๐
#KigogoMediaUpdates