Hili treni linaanza leo , nimeamua kutafuta timu ambazo mara nyingi lazima zipate goli nikaziamini nikaomba goli 1 tu.Nimepata odds 779+ naimani hadi jumapili ikifika hii hela tutachukua Repost zikifika 100+ mnikumbushe nije kuliweka hapa @Samalentips 📡📟���