Salaam wapendwa,
Awali ya yote, namshukuru Mungu kwa neema ya pumzi.
Pili, nawashukuru nyoooote kwa upendo na ushirikiano wenu juzi (J’tatu) baada ya Dola kufanya yake. MTU NI WATU. Uraia ni nguvu.
Tatu, pamoja na yooote, bado kuna sintofahamu
We love to see book clubs growing and spreading in Tanzania. But why so few Tanzanian authored books? Is it a quality issue, language (kiswahili kigumu kuliko kiingereza), lack of awareness of existence of the book etc? Please help us see how we can improve this as publishers 🙏🏾
1. Bado kuna changamoto ya wasomaji kupendelea na kuamini zaidi kazi za waandikao Kizungu kutoka nje ya TZ.
2. Kutokupata taarifa za kutosha za upatikanaji wa kazi za Kisw kutoka TZ.
3. Ufinyu wa upatikanaji wa kazi za Kisw. Wauza vitabu wengi bado wanapendelea vya ng’ambo.