Tunawatakia Waislamu wote siku njema ya Eid Al Adha!
Kila kitakacho fanyika kiongozwe na amani na upendo kwa wote.
Eid Mubarak!
#kcbbanktz#ForPeopleForBetter
Akaunti yako isiwe ya matumizi tu!
Simba Savers iko kwa ajili ya kila hatua unayopiga.
Anza sasa. Hakuna makato. Riba 6% mpaka 7%.
#kcbbanktz#ForPeopleForBetter
Anza June usingoje Desemba!
Wekeza mapema bila makato ya mwezi kupitia Simba Savers Account na ufurahie riba ya 6% hadi 7%.
#kcbbanktz#ForPeopleForBetter
Weekend ya mwisho wa mwezi bila makato ni kitu safi sana!
Tumia KCB VISA Debit/Credit Card kulipa bills, kununua kila kitu unataka bila ada ya miamala.
#kcbbanktz#ForPeopleForBetter
Akiba iwe priority namba 1.
Hakuna makato, hakuna stress ni wewe na future yako tu.
Weka hela zako kwenye Simba Savers Account upate riba ya kuuanzia 6% hadi 7%.
#kcbbanktz#ForPeopleForBetter
ONGOZA KWA KUSUDI! CHAGUA ‘SUSTAINABILITY’
KCB Bank Tanzania, kupitia dhamira yake ya kuwawezesha vijana, ilidhamini uzinduzi wa Pesa Smart Program tarehe 19 Mei 2025 programu iliyoandaliwa na CEOrt na kwa kushirikiana na SSC Capital.
Programu hii iliandaa mafunzo ya elimu ya fedha kwa vijana 25 wajasiriamali wenye umri wa miaka 18–25, ikiwapa ujuzi muhimu wa kupanga matumizi, kufanya maamuzi sahihi ya kifedha na kukuza biashara zao kwa mafanikio.
Akizungumza kwenye tukio hilo, Bw. Amour Muro, Mkuu wa Islamic Banking, alisisitiza umuhimu wa huduma za kibenki katika kuwawezesha vijana na kuchochea maendeleo jumuishi nchini.
KCB Bank inaamini elimu ya fedha ni msingi wa maisha salama na yenye mafanikio.
#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
Hakuna makato ya mwezi, hakuna gharama za uendeshaji!
KCB Junior Account ni njia rahisi ya kuanza safari ya kifedha kwa mtoto wako.
#kcbbanktz#ForPeopleForBetter
Badilisha CNY au INR kwa bei nafuu, tuma malipo moja kwa moja bila wasiwasi.
Tembelea tawi lolote la KCB Tanzania au piga +255 768 982 350.
#kcbbanktz#ForPeopleForBetter
@IbrahimLauwo Habari Ibrahim,
Pole sana kwa usumbufu uliojitokeza. Tunaomba radhi kwa kuchelewa kujibu DM yako.
Tafadhali tutumie namba yako ya simu, namba ya akaunti pamoja na jina lako kamili kupitia DM yetu kwa msaada zaidi.
MATENDO KIASI. MATOKEO MAKUBWA… CHAGUA “SUSTAINABILITY”
KCB Tanzania imefanya kwa mafanikio zoezi la uchangiaji damu lililofanyika Makao Makuu ya Benki jijini Dar es Salaam, kwa ushirikiano na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Tukio hili ni sehemu ya utekelezaji wa ajenda yetu ya uwajibikaji kwa jamii na maendeleo endelevu, inayolenga kuimarisha afya za Watanzania kwa vitendo. Kupitia ushirikiano na taasisi za afya, tunachangia kuongeza upatikanaji wa damu salama kwa wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo kote nchini.
Tunawashukuru kwa dhati wateja wetu, wafanyakazi na wadau wote waliojitokeza kwa moyo wa huruma na uzalendo. Ushiriki wenu ni uthibitisho kuwa mabadiliko ya kweli yanaanza na sisi sote.
#kcbbanktz
#ForPeopleForBetter
Pesa yako itabaki kama ilivyo!
Anza leo kuweka akiba na Simba Savers Account bila stress za makato huku ukifurahia riba ya 6-7%
#kcbbanktz#ForPeopleForBetter