Kuna dada yangu anashona seat covers za magari... kama una kazi tafadhali mpe hatokuangusha...
Yuko Mabibo, Dar karibu na NIT. Namba yake; +255 689 829 778,
Kindly rt tumuinue mtoto wa kike. ..
@Kilombili1 @HusseinBrayz@fatma_karume @umwalimu @kigogo2014@MarekaMalili@Jamilu71 @Leyenda_vivien @NormanJonasMD @Dr_Boaz_Mkumbo @DrMabula Duh! Bahati mbaya sana sikufundishwa matusi. Niliambiwa heshima na adabu ndio ngao ya mafanikio. Endelea kutukana ukidhani nitatukana pia nami. Tuna utofauti mkubwa sana katika kufikiria. Naona umefikia ukingoni ukaona matusi na kejeli ndio silaha yako ya mwisho 😊👍🏿🙏🏿
@Kilombili1 @HusseinBrayz@fatma_karume @umwalimu Bado huna sababu ya kuwaambia wagonjwa wakufuate DM, weka tweet hapa tweeter watu hawana roho mbaya wata-retweet na befor you know it itakuwa imefikia watu wengi kuliko unavyodhani. Na utapata followers in that sense, usilazimishe watu wakufollow thats the point here.