Kwenye EXCLUSIVE ya Dar24 Media tumempata nyota anayefanya vizuri kwasasa kwenye Bongo Fleva, Mavokali
Atazungumza na Umma wa wapenda burudani kueleza yale usiyoyajua kumhusu, pamoja na rekodi yake inayofanya vizuri ya Commando
Kupitia YouTube channel ya Dar24 Media