"Skin care siyo ya wanawake pekee! Wanaume pia wanahitaji kutunza ngozi zao ili kuzuia matatizo kama chunusi, madoa, na kuzeeka mapema. Osha uso, tumia sunscreen, na hakikisha ngozi yako inapata unyevu. #SkinCareForMen#SelfCare#HealthySkin"
@eastafricatv Unataka muonekano wa kitajiri lakini haujui namna ya kuupata..?
Hautaki kujichubua ila unatakaa ngozi yenye mng'ao kama hii👇👇 lakini haujui cha kufanya..!!
Nicheck 0627938065 bure
Unataka muonekano wa kitajiri lakini haujui namna ya kuupata..?
Hautaki kujichubua ila unatakaa ngozi yenye mng'ao kama hii👇👇 lakini haujui cha kufanya..!!
Nicheck 0627938065 bure
5.Ngozi yenye mafuta alafu ina vishimo pia ina madoa(oil pore acne scar)
Hawa wanatakiwa kutumia salicylic acid cleanser mfano wa cleanser hizo ni ceraVe renewing SA cleanser, Creaton cleanser .
Watu wengi ambao wamekuwa wanafanya skincare wamekuwa hawazingatii sabuni ya kutumia wakati wa kuoga. Guess what? Sabuni ni muhimu mno kwenye ulimwengu wa skincare. Zifuatazo ni aina za sabuni ambazo unaweza kutumia kulingana na aina ya ngozi yako.
4.Watu wenye active acne
Hawa ni wale watu wenye vipele kwa muda mrefu. Kwa mfano unakuta mtu ana vipele usoni ndani ya miaka mitatu.Hawa wanatakiwa kutumia Benzo peroxide base cleanser.Mfano wa cleanser hizo ni differin cleanser, paulla's choice,panoxyl-best.
Ili uwe na matokoe bora na kuweza kutunza ngozi yako vizuri ni muhimu kujua aina ya ngozi yako.Hii itakusadia kujua ni aina gani ya skincare product uweze kutumia ili upate matokeo bora na aina ipi usitumie usipate madhara.
Ushawai jiuliza uko na ngozi ya aina gani? Au na wewe ni miongoni mwa watu wanaohisi ngozi ni ngozi tu.
Nisiwe mchoyo wa maarifa..!!Leo nimeona tujifunze juu ya aina za ngozi
5. Ngozi nyeti (Sensitive Skin): Ngozi hii ni rahisi kudhurika pale unapotumia skincare products. Mara nyingi uvimba au kuwasha baada ya matumizi ya vipodozi au Skincare product