To those who reached out to check on us and showed concern, we deeply appreciate your love and solidarity, May peace, justice, and unity prevail in our communities!
NI wapi kwenye maandiko panasema haya ni maandiko ya Mwanamke kwa mwanaume?
Kiuhalisia MWANAMKE hashei mamlaka na mwanaume ndani ya ndoa ,the Bible say the Man is ahead of Women and when you married you become under his authority.
Mwanamke Unapo kubari tu kufunga ndoa na mwanaume automatically you are coming under his authority unaelewa mtu anapo kwambia kwa sasa upo chini ya mamlaka yangu..?
Unayajua mamlaka aliyonayo Mwanaume kwa MWANAMKE?sasa kwann wewe unaanze kuingiza mamlaka yako ?
Hawa machangudoa na makahaba mnao waona mtaani hawakushuka kutoka mbinguni walizaliwa na watu na wakalelewa na watu na hawa watoto wa kiume mnao waita mashoga hawakujizaa wenyewe
Mzazi wekeza kwenye malezi bora kwa mwanao ..dunia inatisha sana
Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika.
Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha dunia.
Andaieni mawazo yenu โ muda umefika!
#Ubunifu #Teknolojia #AI #Fintech #Tanzania #AfricaRising
Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika.
Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha dunia.
Andaieni mawazo yenu โ muda umefika!
#Ubunifu #Teknolojia #AI #Fintech #Tanzania #AfricaRising
"Ukikalia kiti ambacho sio cha kwako ngazi yoyote huwa ni mtego huto jua balaa limetokea wapi , usijaribu kuongoza/kutawala watu ambao wamekukataa"
Alisema mwanaharakati wa haki za kibinadamu
Martin Luther king Jr
MWANAUME mmoja tena kwa wakati mmoja anaweza akawa boyfriend wa mtu ,Crush wa mtu ,danga la mtu & mume wa mtu.
Na MWANAMKE mmoja tena kwa wakati mmoja anaweza aka-date na boyfriend wa mtu ,Crush wa mtu,danga la mtu,& mume wa mtu.
Umeelewa utofauti HAPO? Au wewe sio mhenga
Mwanaume anaweza Ku-date na kila Mwanamke hata ambaye hajatulia ila ndoto ya kila Mwanaume ni kuoa MWANAMKE aliye tulia
Lakini ukweli mchungu ni kwamba mwanaume utamuacha mwanamke uliye mchezea na kumuoa MWANAMKE aliyechezewa na wenzako.
Law of karma..
Assalym alyku..
Yaah Allah ,Tujalie siku yenye Nuru, Asubuhi yenye barka ,mchana wenye furaha , magharibi yenye kheri
Tupe Subra ,ipe afya miili yetu,zijaze imani nyoyo zetu ,Tujalie Riziki zetu ziwe za halali,Na utusamehe makosa yetu ,warehemu waliotangulia mbele za haki.
@zittokabwe Puppet master,umepoteza ushawishi hata value yako imeshuka sana umekosa misimamo thabiti katika kile unacho kiamini ,busara kwako ni bora uendelee kukaa chumba alicho amua kukaa Swahiba wako Freeman .