CAFCL kuna Mas Fes bingwa wa Botola π²π¦, kuna Al Ahly Tripoli timu ya kina mayele& Girimugisha, kuna Asswehly timu imemsajili wachezaji kutoka ulaya mmoja kutoka Real Oviedo mwingine Us Lecce ya seria A
Kuna Berkane, Al hilal, Mc Alger, pyramid halafu yanga mnasema mnatimu π
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo, Agosti 26, 2026, jijini Dar es Salaam.
π₯ Bungeni leo mambo yalikuwa moto! Maswali yameibua hoja mbalimbali kutoka kwa wabunge, huku Serikali ikitoa majibu kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi. π£οΈποΈ
Kesho ungependa kuona Wizara gani ikiulizwa zaidi? ππ€
#BungeDodoma#SiasaZaTz#TzTwitter
π°πͺ Kenyaβs 60,000-seat Talanta Stadium is nearing completion ahead of AFCON 2027.
The stadium is reportedly 94% complete, with final works underway as Kenya, Tanzania and Uganda prepare to co-host the tournament.
#AFCON2027#Kenya#Tanzania#Uganda#Football