@Kimuzi_ Niliiba mahindi nikapeleka kuuza, the buyer aka nishow nikujie pesa jioni. Kumbe kuna mama alinicheki, mathe akitoka job akaambiwa kijana alienda na mahindi na hatukumuona akirudi na unga. Nimechill kejani mathe anarudi na mahindi buana. Nilipotea siku mbili