Bro, Mwanaume anayepambana kutimiza ndoto zake, Anahitaji pia Mwanamke mpambanaji Ndiyo maana Punda milia ni mzuri lakini yupo Porini, Lakini punda yupo nyumbani,
@ElimikaWikiendi
@Rydx_017 Me nilikua Arusha nimejionea Live hii nyimbo wakati inapigwa ilo viber lake nimeruka mpaka Baaas.., Mungu awatunze awa watu wanajua aisee noma sanaaa..,