@Psiteshio1 Hapana mtandao wa X umezima kwa watu wanaotumia internet ambayo source yake ni sim card ya mtandao wowote ila kwa wale wanaotumia fiber wana access bila VPN
@zittokabwe Mhe @zittokabwe umeshiriki uchanguzi wa nchi hii mara ngapi? Mliweza kulinda kura mwaka gani hadi leo muweze tena kulinda kura, lengo ni kuwa chama kikuu cha upinzani nchini na si kuwatetea wananchi mgekuwa na nia vyama vyote vya upinzani mngesusa uchaguzi tungeona mwisho wa ccm