@eurodgo I feel sad for her She gon need deep wash cleansing spiritually mentally physically and being and therapy sessions ๐ญ๐ญto undone the damage
Kampuni ya Facebook imethibitisha kwamba Mitandao yake ya Facebook,Instagram na WhatsApp imepata tatizo na kufanya baadhi ya Watumiaji kushindwa kufanya chochote kwenye Account zao, kwenye taarifa yao wameomba radhi na wamesema wako kazini kulitatua tatizo.
#MillardAyoUPDATES
Kama hauna koneksheni, watu watakuona haupo serious na maisha.
Tujitaidi kutengeneza mahusiano mazuri na watu ili wawez kulitaja jina lako kweny chumba kilichojaa fursaโ
Leo Desemba 1, mtangazaji wa kipindi cha UJENZI Basilisa John, ametunukiwa Shahada ya Uzamili (masters) ya 'science in public policy, analysis and programme management', katika Chuo Kikuu cha Ardhi jijini Dar es salaam.
Hongera Basilisa.
@kenny_ather_ Thank you for joining the #TujePamoja Challenge @thekiliproject. Your image has been added to the Mosaic. To view your image click below and search your username https://t.co/fjdB4lRBR0