@ItsKamala But All in All kila mmoja yupo sahihi wewe upo sahihi na huyo kwa interview yupo sahihi,maana hakuna mtu anae weza ona huu ni moto akakanyaga,wote huingia Kwenye ndoa kwa shangwe,lakini matokeo ya huko ndani ndio huzalisha wewe nahuyo aliye kwa interview.
@ayubu_madenge@kilepi_tweve Uhalisia haupo kama wengi tunavo fikiria kama innovation sisi Black pple tulianza kitambo pia jiulze hapa Tz umeona watu wangap kwa taarfa ni ma innovator lakin hawajapelekwa popote
@Wizdomtz@Zuri_Sawahli Huu sio ujasiri hapa kikimlamba tunaanza kulalamika kumtetea kama hakija mlamba anaitwa jasiri,Wanangu mtu wa kwanza kuwajibika juu yako ni wewe mwenyewe kila mmoja aangalie wap katoka,wapi alipo na wapi anaenda.
@SharonMontana20@Mwinshehe07 Unajikuta umeamka asubuh upo choon then anakuja kukwambia "Penzi la surprise" ✍️Maombi yako yakapate kibali mbele ya bwana scie.
@Mikumifinest Awe na uwezo wa kuzalisha na kusmama ×2,hivyo vngne ni mental health ndo ina control lakin ukiona unasmama 2× ,na zna mikia wewe kama analalamika humfkish control akili yako tuu gem over