For 4 years repeatedly discredited Messi’s World Cup, saying World Cup is just a 7 game tournament, World Cup isn’t important. Now this Portuguese clown showed up saying “World mission begins.” Most shameless disgusting athlete in history.
Wanajisikiaje wanapoangalia kumbukumbu hizi?
Wanasikitika? Wanajisifu? Au wanawaona ni wale walikodishwa na kulipwa kuandamana? Au nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi?
Mungu hachezewi Kwa lugha za tume na maridhiano. Tubuni na kukiri kukosea ili muwavute walioumia mezani.
As the ICC prepares a landmark dossier on the 2025 massacres, ➡️ https://t.co/gNvNuLUJpN President @SuluhuSamia is trading state funds for Republican influence in a desperate bid to escape global pariah status.
Hii sio vita ya Serikali dhidi ya wanaharakati,wananchi na wanasiasa, hii vita ni ya Mwenyezi Mungu. Na wote waliohusika na ukatili huu wataanguka vibaya sana na adhabu ya Mungu itawamulika hata kwa vizazi vyao.
Mwanzo 4:10
Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.
🇪🇸 Spanish masterminds in football are truly impressive! 🧠😮💨
🇪🇸 Cesc Fàbregas
🇪🇸 Pep Guardiola
🇪🇸 Xabi Alonso
🇪🇸 Mikel Arteta
🇪🇸 Xavi Hernández
🇪🇸 Luis Enrique
❤️🔥