Dear Brother acha kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume cha kufanya tumia Ndizi mbivu🍌+ Maziwa fresh🥛+ Korosho au karanga + Tende kisha saga kwenye blenda chukua ule mchanganyiko kunywa glass 1 mchana na usiku 1 kwa muda wa siku 7
Utakuja kunishukuru baadae.
Kuna watu wako na vividly inspiring powerful stories za walipotoka hadi walipofika sasa… aisee.
Achana wa hawa punje ya mchele kwa sasa ni muuza mchele mkubwa mbeya.
Samahani rafiki yangu ikitokea umepata tatizo la kufeli kwa figo. Je huyo mpenzi wako anaweza kukutolea hio figo ili aokoe maisha yako au ndio imeandikwa kila nafsi itaonja umauti 😁😁💔