Leo nilipata mda wa kushiriki Public lecture inayohusu the role of PPPs in achieving the goal of Dira 2050, pale chuo kikuu cha Dodoma kama mdau wa sekta binafsi.
Kwa kifupi vijana na wanazuoni wameiva haswa ๐ฅ๐๐
3, June 2026
Mgaagaa na upwa Hali wali mkavu jamaa saivi ndio anatoa hoja za maana pale Bungeni sema alikosa Elimu tu na ni mtu wa masihala Ila ni mtu wa maana Sana.
Watu wa Instagram huwa wanakera sana mtu anapost kitu cha maana ama anazungumza hoja ya msingi kwenye comment unakuta comment kibao ama wakati mwingine comment zote ni emoji tu kama ๐ฅ๐ฅ๐ฅ, ๐๐, au ๐๐๐