@ekasoma@jokateM SASA NDUGU YANGU KWA Mtazamo WAKO WAMUHIMU HAPO YUPI MWENYE BAJAJI KATOA PESA ILItupicha ikae namchoraji kapokea tunaangalia mwenye mapenzi ya vitendo
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka, ikiwemo kuvamia ofisi za Clouds Media Group Machi 17, 2017.
Maombi yamewasilishwa mahakamani na mwanasheria wa kujitegemea.
HT: Raia Mwema
@mshambuliaji Mnyazimu mungu kasema jisaidie nami ntakusaidia unaona shimo liko mbele yako utumbukie tu kwakuwa kuna makosa mengi ulisha fanya 🤣🤣🤣 huenda umechoma sindano ya Tetenasi tutaaminije msirubuni watu kisaikolojia umechoma kwa faida yako why unatangazia watu
@JMakamba Yele maneno yana ukweli ndani yake jaribu kutuliza akili why iwe leo cv19 ishamiri nacho ona mimi serikali isifurahishe nchi zingine hala iangamize wananchi wake watumie njia mbadala kuzizuia hizo chanjo ila kuepusha mpasuko wa nchi utakae kuja badae hili wengi wanazani niuongo