@privaldinho Wewe mtoa post na abbas wote mnafanana mawazo... kwa mpira gani mpaka azam anawazid hvyo?? Mpaka mnakuja kichomoa.... mkaanza kuombea sare kwa azam.... yanga hakuna timu inayoweza kufikia viwango alivyosema abas... yeye si ndo mtu wa sportpesa... achukue ata fulham ay norwich.
Nahisi huyu jamaa ni shemeji wa Matola.... huu upuuzi anao ufanya umeighalimu Simba goli 2 zote... Kwanini asinhecheza Nyoni? Huu upuuzi wake unakera. Auzwe tu.@privaldinho@modewjii
@privaldinho Ww ni chawa wa YANGA.. Habar za Simba achana nazo... juzi ulipost kuwa clabu kubwa zote haziend nje ya nchi..... now..... unasahau kuhusu Man city.. Liverpool... PSG... man Utd .. wote hawapo nchini mwao.... simba haiwazii timu za hapa..... zinawaza mafanikio ya Africa.
@LFC I'm a liverpool fan for a long time ago... I would like to beg for @teamcoach to secure back @Phillipecoutinho this summer.. very important for our team... ππ»ππ»ππ» plz forgive him and give him a second chance to deliver success to our team.
@MathiasDeus3@privaldinho Sio hiyo tu bali pia ata mechi ya Liverpool na chelsea pale faulo imetengwa alafu wanaweka ukuta huku wakizozana na rela.... David luiz akapiga na mpira ukazama na likawa bao..