Bu iki dev kaplumbağa 120 yıldan fazla süredir birbirleriyle kavga ediyor.Hayvanat bahçesine göre, bir kaplumbağa diğerinin yemeğini 120 yıl önce çalmış ve o günden beri düşman olmuşlar.
Moja kati ya picha bora katika historia ya World Cup. Baada ya mechi ya mshindi wa tatu kumalizika, baadhi ya wachezaji wa England na Ufaransa walikutana katikati wakakumbatiana wakasali. Licha ya tofauti zao uwanjani walionesha umoja katika kumuomba na kumshukuru Mungu.