Ni saa kumi na mbili! Jogoo amewika kumaanisha kengele ya kuingia rasmi ndani ya #JamboKenya imegonga! Karibu sana na leo tumekuandalia mengi; Uchaguzi mdogo wa Kibra naye Imran na shilingi elfu kumi.
Ni kwa nini @inspektamwala anakaa anaumia?
@MelodySinzore@vincentateya