#AIRSS2025 at @iitmadras is setting new benchmarks in research-industry collaboration.
🎓 Key Highlights:
✅ India’s first job fair for research scholars
✅ Women Empowerment Day
✅ ₹1.25L Eaton’s Pratibha Awards for 9 women scholars
✅ 30% humanities scholars for interdisciplinary research
✅ Workshops on AI/ML, MATLAB, ANSYS, LaTeX & more
Experts such as Dr. N. Subramanian (SETS), Prof. Sathyanarayana N Gummadi, and Prof. Shanti Pavan discussed quantum computing, cybersecurity and other academic research trends.
#IITMadras #AIRSS2025 #Research
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 06, 2025 amefungua Skuli ya Sekondari ya Makoba iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, yenye thamani ya shilingi bilioni 6.1.
Bofya link kusoma zaidi
https://t.co/LCYpWHTfG1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na watoto mbalimbali wa Kijiji cha Maziwang’ombe mara baada ya hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na wananchi mbalimbali wakati wa Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa ameketi pamoja na wanafunzi wa kidato cha kwanza wa Skuli ya Sekondari Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba wakati wa ufunguzi wa skuli hiyo ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali – Zanzibar Bw. Khamis Abdallah Said wakati akikagua Maabara za Skuli ya Sekondari Maziwang’ombe iliyopo Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika ufunguzi wa skuli hiyo ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.