This guy is on fire 🔥
Nadhani mpaka hapo tumeiona mikimbio yake..kashuka chini kapiga one two na Aucho kisha kawahi kwenye box kucheza Cross ya Moloko...What a goal that was
"Mwaka 2010 nilifunga mabao 2 mechi ya kwanza dhidi ya Arsenal,mechi ya marudiano niliumia nikamwambia Messi, kijana!mimi sipo inatakiwa uibebe timu mabegani mwako,alifunga mabao manne peke yake nilimfata na kumpongeza nikamwambia leo umefanikiwa kuwa bora zaidi yangu"- Zlatan