"UKWELI WA MUNGU ni kama maji utapenya tuu, utatafuta nyufa na utaonekana" Dkt Joseph Mosha.
Sambaza neno hili la MUNGU kila kona ya nchi walisikie.
Repost 400🚨🚨
TUTAKUWEPO🫵😎
Ndugu zangu followers wangu ukurasa wangu ni binafsi hivyo usinipangie vya kupost mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila ni mpinzani naturally mimi ni mpenzi wa haki sipendi ukandamizwaji hata kwenye midahalo school nilikuwa sipendi preposition side bali opposition side
Homboi kwa tunaokufahamu tangu hujaingia hata bungeni 2010 tunaijua kazi yako hujawahi kurudi nyuma kwenye mapambano ndugu zako tunajivunia sana kupata mtetezi wa haki nchi hii nafahamu sio wote lakini wengine tupo pamoja nawe familia
#FreeTunduLissu
Ukweli ni kwamba ukimkamata mtu kama Tundu Lissu na ukamfungulia kesi unakua haumshushi bali unazidi kumuongezea credibility kwa watu na anazidi kujikusanyia wafuasi. Kumkabili Tundu Lissu unahitaji watu “Smart” katika siasa, magwiji wa kujenga hoja na wenye nguvu ya ushawishi.