Kuwa na wakati mzuri na wapendwa wako. Mola Ajaze mioyo yetu na huruma katika mwezi huu w Shawwal hii nzuri. Sambaza furaha ya #Eid kwa wote wanaokuzunguka na usisahau kuwafikia wanaohitaji.
#EID MUBARAK TO ALL MUSLIMS
Ni Ijumaa ya kwanza katika #Ramadhan tunakuomba ALLAH utufanyie wepesi wa kutenda mema na utusaidie kuepuka mabaya katika hali zote.Tupe mafanikio katika maisha haya na yajayo. utuongoze na uunganishe mioyo yetu.Utujaalie tuwe miongoni mwa wale wanaokutegemea Wewe kwa kila jambo.
Haijalishi unapitia nini maishani, daima uwe na imani kwa Mwenyezi Mungu. Amini kwamba Anakutakia mema, hata kama hakupi kile unachotaka, Yeye daima anashughulikia mahitaji yako. Huenda usione mara moja. lakini ipo siku yote yatakuwa na maana.
RAMADHAN KAREEM 🤲🤲🤲
#Ramadhan hii, weka dhamira thabiti ya kutumia maneno kuwajenga watu. Acha kutumia lugha chafu, usemi mbaya na usilaani na kuapa. Maneno yana nguvu. Unaweza acha athari ya kudumu. Kwa hiyo usiruhusu kitu kingine isipokuwa chema kitoke kinywani mwako.
RAMADHAN KAREEM 🤲🤲🤲
Tukiendesha Mafunzo ya Usalama Barabarani kwa Wanafunzi tukishirikiana na @tanpol Mkoa wa Lindi .Hakika kwa Pamoja tunaweza kuzuia Ajali Barabarani. Tunawashukuru DTO kilwa na Team Yake.
#Ajalisasabasi#RSApazasauti#ChangeRTA1973
Tukiendesha Mafunzo ya Usalama Barabarani kwa Wanafunzi tukishirikiana na @tanpol Mkoa wa Lindi .Hakika kwa Pamoja tunaweza kuzuia Ajali Barabarani. Tunawashukuru DTO kilwa na Team Yake.
#Ajalisasabasi#RSApazasauti#ChangeRTA1973
Do you have friends who are sincerely happy for your success? They respect the hard work you do and value your effort. They build you up instead of tearing you down. The ones who boost your morale and build your self- confidence. If you have such friends, keep them close.👆👆