Wakati wa furaha
*Msifu Mungu
Wakati wa magumu
*Mtafute Mungu
Wakati wa kusubiri
*Mtukuze Mungu
Wakati wa maumivu
*Mwamini Mungu
Wakati wote
*Mshukuru Mungu
Dirisha kubwa la usajili hapa nchini lipo wazi tangu tarehe 6 mwezi huu wasaba mwaka huu 2026.
Na rasmi dirisha hilo litafungwa tarehe 15 mwezi wa nane mwaka 2026.
Hii ni kwa vilabu vya ligi kuu Nbc Premier league,Nbc championship na First league na ligi kuu ya wanawake.
Simba Sc ni bingwa wa CRDB FEDERATION CUP 2025/26 baada ya ushindi mbele ya Azam Fc.
Kwahiyo paredi la Mnyama mmesema linaanza kesho likiongozwa na chuma mpya ya mdhamini.
Kwahiyo leo sifa zote kwa tajirii sio Ngungu Boy tena ๐
Sio kwa ubaya wakuu kuna ile game ya ligi kuu Foutain Gates Fc na Singida BS ilipigwa Arusha jumanne asee sio kwa ubaya.
Hebu angalieni na nyie zile kamba na namna game ilikuwa inaenda kweli watu watakimbia kuamini mipango mipango kwenye mchezo ule.
Au mimi bado nina usingizi๐
Wadhamini wakuu wa ligi kuu ya soka Tanzania bara Nbc Premier league bank ya Nbc imesema kuwa kuelekea kesho wamendaa sherehe za ubingwa viwanja vyote viwili.
Huku akienda mbali kuwa kesho kutakuwa na chopa hewani itakayokuwa na kikombe itachagua itue wapi baada ya dakika 90.
Usiache Kusali na Kumshukuru Mungu, Watu wanakupambania bila ya wewe mwenyewe kufahamu.
Mnaweza msiwe na ukaribu lakini nafsi zao zimechagua kukuamini na kuona mazuri yako tu hata katika nyakati ambazo jamii nzima itakunyooshea kidole na kugoma kukuamini.
Nd'o hilo ninalolitanguliza mbele siku hizi,kabla sijakuomba vingine.
Ikiwa hujaniandikia yeye katika maisha yangu ya halali,basi nifutie kimoja,ili ye awepo tu๐.
Nisichotamani ni kutenga naye,mi nampenda sanaโฅ๏ธ
Nipe yeye kwanza,nakuomba sana๐คฒ
Sijui umeniandikia nini kabla ya kifo changu.
Sijui kipi utanijibu,kwenye Dua zangu ninazokupa kila siku,Mungu wangu.
Sifahamu dakika za kuishi kwangu umezifichia tukio gani,kila ninapoivuka moja.
Hata ukisema unipe macho 7,bado nitafeli mtihani wako wa kubashiri ninachokiona kesho,kuhusu chochote kile.
Mungu wangu,bado mi sifahamu vingi hata kuhusu mapenzi pia.
Lakini,ninayempenda jina lake nishakupa tayari.
Sio leo tu,mwenzio tangu uje,kila siku moyo wangu unasherehekea sikukuu kama ya leo.
NAKUPENDA SANA,BAKIA NA MIMIโค.
Happy Valentines, mrembo wangu ๐ท
Nimepanga kumwandikia Mungu barua kuhusu wewe na wenzio wawili.
Kwanza nitamsalimia kitakatifu, kabla ya kumuuliza kuwa akitutoa sisi,hivi hadi penzi letu pia litakufa?
Swali langu la pili,litamuhusu mwenzio mmoja,ambae umegandana nae ngozini.
Kinyenyekevu sana,nitaandika ombi langu kuwa,nyie wote watatu mtunzwe na mimi,yeye awalinde.
Ndio, ni wewe Love,Uzuri wako,na Tabasamu lako ninaloombaga sana wasikuibie.
Mi nawapenda sana,kama milele sio neno la kusadikika,basi twendeni wote,msiniache njiani.
Natamani kuwa shavu lako,ili kila unapolia nisiwe mbal na ww
Kwenye magumu yako,niwe kitu kinachokutuliza haraka,kuliko vyote
Stres zako zikihusu maisha,busu langu liwe motivational inayokunyanyua kila wakati
Nakupenda yangu iwe sweta lako,hasa nikiisema mbali na vifua vyetu
Milele isiwe ndoto ya mapenzi yetu,ambayo mi naombea yasiwe na mwish
Cha kuliua tabasamu lako,uwe utoto wangu,utaokuchekesha sana
Japo mpaka kifo changu tu,moyo wangu uwe godoro lako, lisilokuumiza
Mi dua yangu niwe ubavu wa furaha,na wewe nd'o ufanywe kuwa hawa wangu,Daima.
Moyoni sina ya kutolea miye,njoo unipende mpaka mwisho,halafu acha wajue tu
Karibu tujiunge bando la maisha, tuwe online na penzi letu,Daima na milele
NAKUPENDA โค๏ธ
Pokea vocha ya upendo wangu, ikuungie kifurushi cha furaha ya milele
Ni-mixx na utulivu wako tu, niununulie moyo wako amani ya kudumu
Nipe uwakala mwilini mwako, niusambazie ulinzi huo uzuri uliokupendeza kila kona
Nitumie float ya matakwa yako, nikupe yakiwa cash nikupende
Linakuja jina lako,kwenye nida ya mapenzi yangu,ninayomuomba Mungu anipe
Ndiyo upungufu ninao,na boresho langu la pekee ni ujio wako tu kwenye safari hii.
Nguvu ya tabasamu lako ni kubwa, ikiwa udhaifu wake hutoupa jina
Heri nyumba ya upweke isio na chochote,kuliko utulivu wa eneo la makaburini
Mlango ulioandikwa vuta usisimame kubisha hodi, utadharauliwa
Maisha ndo mimba inayoweza kuzaa mwanzo mpya kila siku,wee move on tu