Last year in May 1st i was in Prison, heavily in debt and at my lowest. This year May 1st, i was busy logging the final hours of my commercial license, Next year i might be in Monaco with a baddie. No one knows.
Thats the beauty about life, nothing is permanent apart from God.
Na kitu ingine vijana,manake ni muhimu tupeane ushauri sisi kama kizazi cha kiume. When it comes to impressing women,It is important you know when and where to stop. Lazima ukue na boundary. Because its very easy to lose yourself along the way. Kuna mahali unafaa kufika unajua hii imeenda,haikua yangu. Na kama hujui nakwambia utaumia. Some of these women will exploit you to the core once they notice how desperate you are to have them appreciate you
Anaitisha hii unaleta,ukidhani hiyo itamtuliza,anaitisha ingine. It never ends. Ni muhimu sana Ukipatana na sampuli kama hii,kumbusha yeye wewe apana baba yake,na ujitoe. Na hii ni kitu inasumbua mpaka watu wameoa. Mimi siniliwaambia kuna wakati bibi aliona nikama nimekua nugu,nikaskia ameniambia ati anaona ingekua ni jambo mzuri sana nikivurutia baba yake stima kwao. Hapa ndio niligundua nimekua mchache,Ndoo ilikua hapo nikaweka teke namna hii, ikatoa tunnel. Hiyo maneno sijai skia tena
Wanaume ni muhimu tujue boundary iko wapi. Mimi navuruta stima kwani mimi ni KenGen. Aiii!